BITABUY MARKET
ni soko la kielektroniki lililotengezwa ili kusaidia watu kufanya biashara, kujifunza, na kupata kipato kupitia Affiliate Marketing na mauzo ya bidhaa mbalimbali. Ili kujiunga na huduma hizi, mtu anawajibika kufungua akaunti kwa mtaji wa shilingi 14,000 tu.
**Vipengele Muhimu vya BITABUY MARKET:**
**Ufunguzi wa Akaunti (TSh 14,000):**
Mwanachama akifanya malipo ya shilingi 14,000, anapata:
- Akaunti ya kibiashara.
- Uwezo wa kushiriki mfumo wa Affiliate Marketing.
- Fursa ya kufanya mauzo na manunuzi ya bidhaa ndani ya jukwaa.
**Affiliate Marketing (Kualika Marafiki):**
Mwanachama anaweza kualika watu wengine kwa kutumia kiungo au msimbo wake wa kumbusho (referral link/code).
- Kila mtu anayejisajili kupitia kiungo chake, anagharimia TSh 3,500, uye anabakia kama faida kwa kiungo.
Mfumo huo wa referral unaweza kuleta viwango tofauti vya mapato kulingana na idadi unayowalika.
**Biashara ya Bidhaa (Auza & Nunua):**
Jukwaa linawezesha mtumiaji kuuza na kununua bidhaa kwa urahisi bila usumbufu mkubwa.
-wafanyabiashara wanaweza kuongeza mauzo yao kwa kutangaza bidhaa zao ndani ya soko hilo.
-**Mafunzo ya Ujasiriamali:**
Mwanachama anapata mafunzo kuhusu ufanyaji kazi, uwekezaji, na uongozi wa biashara.
-kuna mafunzo maalumu juu ya kukuza mapato kupitia marketing na mitandao ya kijamii.
**Faida za Kujiunga:**

0 Comments